Hivo tu na akaenda

Yaani kudedi imekuwa nikama glass kuanguka na kuvunjika. Hivo tu na mtu ameenda. So leo nko mapilka mtaani after kutoka works nkaingia ka shopping hivi Carrefour. Kutoka kwa mlango nafuatana na mmadha m.young kwa umbali anakaa bado dem anadondosa polepole mbele yangu.

Imaginations zikaanza kunikimbiza, na imagine huyu nkamfungua hio buibui naweza mfanyia madhambi kazote. Kufika hapo nje kwa parking akafungua kibima X6. Ghafla bin vuu, mdhama, buibui na shopping bags zake chini. Hii situation ikawa tricky juu hapa haundeagi tu mmama hivo kama wewe hapana ndume ama relative yake. Not long after ma paramedics wakafika wakifuatana na makarao, guess someone called.

Kushughulikiwa ikawa tu obvious huyo hayuko na sisi. Makarao wakatoa raia hio area, kidogo Nissan patrol fulani ikafika wamama wakatoka na manduru. Sikungoja zaidi. Am still feeling nikama nlim.murder na macho.

haukuitwa for interrogation?

Sad day bro, just forget it !

[SIZE=5]

fala hii ulikuwa unaangalilia nini dame wa kwetu???

KILA MTU ALE KWAO!!![/SIZE]

Ni wewe uli shock her na hio unono na ujinga,by the way kwa mini watu wajinga huwa wanono?

IT is Okeey…:(:(:(:(:frowning: You stole my virginity so …lipa

Imagine kaa ungemsalimia na mkono then adedi venye alidedi. Hio mkono yako nono ingekatwa ikue evidence kwa government chemist.

Kukula na macho ni muhimu, bro.

It is indeed sad,one minute you are shopping for your weeks supply thinking you will enjoy it only to die the next minute and infront of someone salivating on your quadributs

Iza bro. Someone dying ukiona ain’t a good experience

I always prefer to log out permanently from this earth in similar fashion, same way Ole Nkaissery went.
What I dread most is long hospital stays and still die anyway.

Sad indeed.

Can be dangerous

[ATTACH=full]114285[/ATTACH]

Are you flirting with kush:eek:

Wooi no. I was only trying to explain how roving eyes can be dangerous

You were just there wringing your hands until the cops and paras came? Hands only CPR training should be compulsory life skill training for every teenager.

why are you pissed off everyday?..[SIZE=1]asking for a friend[/SIZE]

How much do they sell Arimis hapo Carrefour, and in what quantities?

Upuus. Huyu hakuwa walalo

Unajaribu kusema @uwesmijinga na @prechyeth ni wajinga. Shenji

Ni sawa tu my Ex deerest