Hodi humu!

Nahisi kama nimeokota kitu kinachofanana sana na almas yangu iliyopotea siku chache zilizopita,
Je, thamani yake ndo ile ile?

Karibu

Aksante sana! Hapa ni wapi, JamiiForums au Kenyatalk nilipopata mlango wa kuingilia?

Hapa ni Kenyatalk mkuu ila upo katika kimtaa cha JamiiForum

Ha ha ha ha! Ki Mtaa? Duh hii kali

Kiweke kwenye mizani uone uzito wake kama unafanana na ile almasi yako ndio utapata jibu sahihi.

Asante, wacha nijaribu
Kumbe na wewe upo!

Toka miezi 3 iliyopita nipo huku

Aisee! Kweli Dunia siyo kijiji tena, ni nyumba tu… Ila yenye vyumba vingi!!

Hahahaaa. Unafaa kuwa Teacher aisee.

[emoji125] [emoji125] [emoji125]

Hahahaaaa. lol

Akifanya ulichomwelekeza halafu asipate jibu nitamshangaa sana mdogo wangu.

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Ashindwe kumeza mwenyewe kabisa

karibu sana mzee mwenzetu

Karibu Safari

karibu sana

Kimtaa hiki kilikua kimechangamka sana wiki kadhaa zilizopita lakini naona sasa kameanza kua kimya bila kua na shamrashamra nyingi kama awali

Karibu saaana

Karibu mkuu.

Kuna kaupepo kabaya kanapita lakini soon mambo yatakaa sawa