Salaam aleykhum people. Nami nimekuja, japo nyie mlitangulia kitambo. Nilikuwa nawacheki tu
C Crazy Like The Fox Senior Villager Jun 19, 2018 #1 Jun 19, 2018 #1 Salaam aleykhum people. Nami nimekuja, japo nyie mlitangulia kitambo. Nilikuwa nawacheki tu
slim5 Village Elder Jun 21, 2018 #2 Jun 21, 2018 #2 Karibu sana. Tupo MISRI, hatuna Mussa lkn tutarudi tu!
C Crazy Like The Fox Senior Villager Jun 21, 2018 #3 Jun 21, 2018 #3 slim5 said: Karibu sana. Tupo MISRI, hatuna Mussa lkn tutarudi tu! Click to expand... Khee! mara hii umeshakuwa mwanakijiji Mkubwa?
slim5 said: Karibu sana. Tupo MISRI, hatuna Mussa lkn tutarudi tu! Click to expand... Khee! mara hii umeshakuwa mwanakijiji Mkubwa?
slim5 Village Elder Jun 21, 2018 #4 Jun 21, 2018 #4 Crazy Like The Fox said: Khee! mara hii umeshakuwa mwanakijiji Mkubwa? Click to expand... Najichanganya sana kaka! Vilabu na Minada yote ya Kijijini, mi nimo kaka
Crazy Like The Fox said: Khee! mara hii umeshakuwa mwanakijiji Mkubwa? Click to expand... Najichanganya sana kaka! Vilabu na Minada yote ya Kijijini, mi nimo kaka