Holidays/Makasiriko are here.

Eng'iti

Village Sponsor
#5
Mamboch wameenda ocha Christmas. The "busy working" mothers are now throwing tantrums kwa nyumba hawajui waanzie wapi na kumanage household na watoi yet walikuwa wanabwekea mamboch all year long.
Young mothers wamekuanga mavi sana skuiizi wakiwa clueless in upbringing their progeny.
Wanaachia watoi mambotch afu unapata tutoi tuko na tabia zingine zinakaa zimetoka moon. Unaingelesha kitoi cha wenyewe unaskia nywele ikismama.
Anyways I can't relate! But tunangojea hekaya
 
Top