Holidays wadau

Friday 29th April: Kibaki mourning day
Monday 2 May : Labour Day
Tuesday 3 May: Idd ul fitr

Swafi bingwa

Can’t relate. Everyday is a holiday uku Suguta valley.

Birrioneas ndo wanaelewa:D:D:D

Naona mumeiba ng’ombe jana…

One person confirmed dead, 3 more injured and over 100 cows driven away by pokots Bandits in Ltirimin, Porro ward!

To be enjoyed at your dinner table soon. Your all complicit … acha kelele.

Unafaa ushukuru Konyagi alikataza jeshi kuua nyinyi,otherwise chuma chenu ki motoni

Na asisahau drone ziko

Si konyagi … ni NIS. It’s a government policy; a case of national security. Doesn’t matter who’s in power. Trust me, they know why. Besides that, we can hold our own and can take a serious beating.

Is Tuesday confirmed?

Niiice.

Just received confirmashen from imam of jamia mosque.

Why do they move in so quickly to stop others when they take up arms to defend themselves,do they fear that pokots will be extincted?

@Electronics4u hopefully you’ll spend your time wisely & productively by unpinning threads.

For example hizo za BBI, Easter, SIM registration nakadhalika.

They make the different forums an eyesore. @administrator

Kwa sisi wanabiashara hizi holidays zimekua mingi…employers tunaumia zaidi hii mwezi hakuna productivity.

Sisi ambao tunauza chakula Kwa hospitality industry tunaomba waongeze holiday zingine mingi saiti ndio kina @Agwambo wakipeleka familia Fogo Gaucho order zetu zinaongezeka.

Kwanza hapo Kwa idi Fitre

Sasa wakorino watutagutie hata kama ni kuombea viazi kinangop.

A five day weekend?

Auuuuuuuh! TANO TENAAA!
Ubaya wazazi watakuwa wamesota juu ya sukur fees. Otherwise fearshara katashika

wacha nitafute 750 ya shot for the 5 days