Hongera sana Rais Dr. Magufuli kwa kuwaamini Watu wa Mara ( Musoma ) katika Idara ' Nyeti ' na muhimu!

[FONT=courier new]Ndiyo maana nakupenda, nakuamini na nakukubali ’ Kunakotukuka ’ kabisa Rais wangu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa John Pombe Joseph Magufuli hasa kwa kuujua umuhimu na uhodari wa Watu wa kutoka Mkoa wa Mara ( Musoma ) na ambao baadhi yao tokea ’ uwateue ’ hawajakuangusha na nakuahidi hawatakuangusha na kama bado unaona ipo haja ya kuwajaza sana sana katika maeneo au idara zako ’ Nyeti ’ za nchi hii Mimi mpiga Kura wako na ambaya nakuhakikishia nitaendelea kuwa mpiga Kura wako GENTAMYCINE nakuomba usisite kuwaamini kwani hakuna Watu ambao wataweza kukusaidia hayo maeneo kama wa kutoka katika huo Mkoa ’ uliobarikiwa ’ na wa ’ Mashujaa ’ na Wanamume wa Shoka wa Mara ( Musoma )

Niwaombe tu akina IGP Simon Sirro na Waziri mpya wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola na wale wengineo katika ’ Idara ’ zingine ’ Nyeti ’ za nchi hii kuwa tafadhalini msituangushe wana Mara ( Musoma ) na kuweni Mabalozi wetu wazuri ili basi Mheshimiwa Rais akiwa anataka tu kuwateua ’ Wanamume ’ wa Kazi na Majukumu ’ mazito ’ wa kumsaidia asiwe anapata taabu au kazi kubwa Kuteua Watu kutoka Mkoani Mara ( Musoma )

Ni ’ Mwendawazimu ’ na ’ Mpumbavu ’ tu ndiyo atashindwa kujua kama siyo kuuamini uwezo wa wana Mkoa wa Mara ( Musoma ) katika Utendaji uliotukuka ambao una historia kubwa sana katika nchi hii ya Tanzania. Na hakuna asiyejua kwamba bila wana Mkoa wa Mara kupambana basi leo hii Idi Amin Dada angeshaichukua Tanzania. Bila Uimara wa Watu kutoka Mkoani Mara katika Idara na Maeneo ’ Nyeti ’ nina uhakika leo hii Tanzania hii ingekuwa ’ ndembe ndembe '.

Ahsante sana Rais JPM.

Nawasilisha.[/FONT]

Amekusikia! Subiria Kijazi atakapotokea tena kwa waandishi wa habari!

Aisee!!! You’re a cynical genius!!!

Hii post inawezekana ni kati ya posti chache za kijinga mwaka 2018 toka JF ya nyumbani mpk hii ya uhamishoni. Huyu mwigizaji lugola anatofauti gani na anetoka?

Aiseee!

Anayetoka ni waziri(ccm) Mwigizaji Lugola alikuwa ka’polisi’ ka ovyo lkn alivyoupata ubunge!!! Leo Waziri baada ya uwaziri mdogo. Awamu ya TANO…ngoja na mimi nijikombe…

Kitu gani kimekutokea? of recent you have been posting rubbishes here!!! au account yako imedukuliwa sio wewe? yaani unaoonyesha ujinga uliopitiliza au ndio SAUT style?

James Delicious katika ubora wake, utapata tabu sana

kumbe sikua najua kua James mautamu mpaka kenyatalk kafika

[B]https://encrypted-tbn1.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcTpjCaGIDBU4dRyjla7pI0-5LhCvz4WfZYyRrn00trT22XmdKky6Zy7y0btCQ[/B]

Kafika, hofu yangu asituletee nuksi ya kule kwingine

Huyu jamaa uwezo wake wa kufikiri unapungua siku hadi siku.

popoma katika upopoma wake.
basi mwenyewe hapo “anajitia” kaandika bonge la mada kumbe porojo tupu.

Kumbe huyo chokwo ni mtu wa mkoa wa mara! Kanda ya ziwa hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Mamae

Bwege kweli wewe. Subiri huyo Sirro wako uine anavyotenguliwa

kama sijasahau, ni wewe uliwahi kuanzisha uzi kuwaponda na kuwatolea maneno machafu watu wa Mara hasa wajita.
enzi mafuru anatumbuliwa. Hapa sijaelewa tuchukue lipi ili kuweka mfuatano wa mawazo yako mkuu (consistency ).

Binafsi siamini Ubora wa Mtu kulingana na Kanda. Ubora wa Mtu upimwe kwa uwezo wa kuleta matokeo yanayotarajiwa kulingana na nafasi husika bila kujali kanda,kabila,mkoa,dini,rangi.

jinga hili kumbe limesoma SAUT! Ndiyo maana , he is so rubbish that reading his rubbishes one is likely to vomit!

Umemmaliza kabisa, a very good description

We jamaa muda mwingine kama umepuliza vile duu.

Wachache watakuelewa. Vyeo kwa ukanda,waliompigia kura. Wengine subirini,tumeteswa mno,tumenyanyasika. Kwa huku ukanda pendwa tuwe na “a human face” . Mliokuwa mnaishi kama malaika,mtaishi kama mashetani.