House hunting

I have been hosting my nephew, since he was in college, sa hii he is job hunting, he wants to be independent but i promised him i’ll surport him hadi akue stable was planning nimtafutie kaa onebedroom around nairobi but catch ni ikue place hatalipa fare ya more than 100 to town rent iskue more than 9k where do you recommend sipendi eastlands na githurai ju he might get into wrong company

heheheh ati haupendi Eastlands?
watu huanzia Paipu buda

10 Likes

9k is a stretch. Try East parts of Nairobi, Buru, Umoja, RoySambu. Otherwise, get a 2 bed and let him look for a room mate.

1 Like

Pipeline fare ni how much?

Roysambu or zimmerman would be ideal…

1 Like

Pangani areas.

Gatwekera utapata hata keja ya 1200, roho safi :slight_smile:

2 Likes

Jamaa, hizo conditions zako si realistic. You are dealing with an adult, hata huko leafy suburbs kuna losers wanaishi huko.

4 Likes

Si usacrifice weekend moja utembee in those areas unataka. I’m sure you will get something.

2 Likes

1 br Pangani ya 9k? I doubt.

pipu zi, Lakini place kama Donholm anaweza pata with that amount.

Pango?? 9k uwezi get…

Hiyo ni bei ya bedshitter. Maybe akisonga Tassia huko ndani.

10k area niko anaweza pata. Tassia ilikuwa stress kwangu kupata Keja. kutafuta keja ilikuwa kama kutafuta kazi

3 Likes

Hapo karibu stage?

Uko area gani

How old is your cousin? Mtu ameenda through college life and you are still worrying he will get into bad company?

19 Likes

Hata mimi nashangaa.

1 Like

U mean u have been living with him and now u want to get him a 1bedroom house? Hapa nrb ? Mwanaume mzima

1 Like

Lets stick to the matter a kid will always be one and i believe na frustrations za job hunting anything can happen na sitaki lawama

Wewe ni wazimu. Boy anasaka job unajali ati wrong company? Kombolea yeye hata githurai give him achievable objectives to monitor job search akitoboa set him free adinye malaya, apigwo ngeta awekewe mchele aijue jiji

16 Likes