HOW CAN I REACH MAENDELEO YA WANAUME

Someone ha been Nyeririzing me continuously bila huruma, I have decided to fungua roho n ask for help because my wrists and knuckles have been broken, serikali ile itanisaidia ni maendeleo ya wanaume nipate jawabu, nanyesewa sana, Tafadhali Picha na Hekaya full siweki.

Does this organization function or its just a toothless dog? Priss don’t send me to google, talk on a personal account

Nderitu njoka 0722764995- i am a volunteer honorary case scout for the organization so mtu asiseme nimeanika namba ya wenyewe hadharani. all the best…

1 Like

POLE :smiley:

unapigwa na bibi bwana? ngojea @Jirani akuambie vile imafanywa

5 Likes

wachana na majani+krest kijana!!

2 Likes

[SIZE=1]kumbe pia Gashui hupigwa na bibi[/SIZE]

4 Likes

hapana si pigwi, mtu ana expect too much

And you still managed to type all that hekaya comfortably badala ya uende thifitari…

1 Like

sio hiyo mboss, ni issue tu

Tuliambiwa hapa it is our duty to fulfill their fantasies, zako na zangu they do not matter:D:D

sio physically lakini

Eish!!! some cant differentiate between dreams and real life, Kugeuziwa nayo

naona hata wewe ni potential client wa MYW. cases nyingi tunasaidia ni za wanaume waliochapwo kwa sababu ya kuchokoza bibi juu ya kujijazia mambo hayapo…

Yangu ni chimama kujaribu kijaribu kuniingiza ma chwom ngori ngori, mpaka NJIVU jooo!

umeanza weekend mapema au nini ama ni simu ina-type vitu zake?

bado kiasi naskuma kazi nikionja juu ya hizo story

Weka picha ama tuambie bibi yako umekataa kuweka akutwange tena.

3 Likes

NOTE: Ni X wa me haku qualify kua EMPRESS

1 Like

Ni mgani ule alienda mlami ama ule alienda party bila ruhusa akableki

1 Like

Kwani wa kubleki alikuwa wife wa @Colombo-Combolo