
Yaani just by a post na mapenzi imeenda tu hivo. @Waithelelo even if it means supporting Shelsea badala ya Man utd ntafanya hivo, but siwezi acha ile nyang'au inaitwa @uwesmakei ikuchukue from me. Nefer efer. Not after the vows we made pale Jadeed mbele ya kasisi @Liberty and momo @Guru representing the kijiji, how you were happy to finally be Mrs. Kuria and now less than one month inakuwa hivi. No haiweskani.
Na wale wamelike hio comment mchidwe. Kwanza wewe @Mathice. Finally,