How do I deal with idlers in my shop

WuTang

Village Chief
#25
Why should they be lalishwad kwa cell? they have not committed any crime. They are his customers and friends as well.
Inaitwa tough love. There are men who pay cops to arrest them na walale cell when they fail to come back home from their escapades. The wivers are non the wiser.
 

Motokubwa

Village Elder
#31
maybe hao unaita idlers ndio wamefanya wezi wasikuvamie,nakumbuka kuna jamaa alikuwa ako na green grocer na alikuwa anauza makaa na retail na wholesale,tumwizi tulikuwa tunamutarget tukiona hakuna makaa tunajua ako na pesa ya stock,tulikuwa tunapitapita hapo kama natuona lakini hatungeweza kumuibia juu alikuwa na mabeshte walikuwa wanamukalisha
 

Top