What’s wrong with people?
This dude was arrested by kanjo today with cat meat.
[ATTACH=full]126093[/ATTACH]
It’s suspected the meat is sold as samosas to the public.
Hehe acha vijana wa hustle…in some countries watu hukula paka and nothing happens to them.
paka ni kama sungura tu…
Kwa hivo tuseme paka hio mtaa ya kwenu haziwezi jazana ukiwa hapo…:D:D:D
Hata mbwa…
kuna video ya watu wakinunua na kula nyama ya mbwa kule Ghana
kitoweo,
Ndio maana makucha yangu hurefuka haraka…ala
Hii mambo nitachunguza
Angusha hekaya Bw VS!
Nyama ya paka is very bitter. Haikuliwi anywhere
Mwalimu amejitokeza!
zzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
Hehehe.
Niaje msee wa monkey biriani?
Na Nyani pia…ama namna gani my friend?
Ile paka ilikuwa inasumbua mtoi niaje?..nitumie kama parcel
Jinga …wewe unaona aje? meffi
Hehehe ntalaunch mutura ya monkey karibuni…unakaribiswa
There is an animal that lives in the bush inakaa paka na huwa inapenda kula kuku sana…but watu hula io kitu na ni tamu
Hata wewe tupe hekaya
:eek::eek::eek::eek::eek:kanu???