How I was conned

Deep sea

Senior Villager
#1
.
It was on a Friday tuko pale tukizurura. 3 guys approached us and told us they needed dancers tomorrow morning and they would pay each one of us 3k tupatane apo nje ya black diamond westlands.
Kuskia 3k njisas io pesa yote kujitingisha mbele ya camera for a few minutes tu.
Wale madame tulikuwa na wao wakachukua their numbers na ikakuwa issa date.
Ile ujue shetani ni mbaya. We were heading to annex kukunywa chrome. Tulipiga about turn tukienda stage ndo tukuwe sober and up by 6am tupatane pale Odeon.
By 6 I was up na nkaambia mathe nimeenda westie job casual ntarudi by 10am. Nilikuwa nimenunua a new phone na pesa ya HELB na was sure ingetake picha kali so I can flourish my Instagram career.
Tukapatana apo Odeon we were 13 of us some sijui kwenye walitoka overnight. Tukafika pale Naivas ya westie and the guys picked us up.
They separated us into two groups as there were two different places to dance. Sisi ao kwa a vacant room apo next to black D tukapewa nguo za traditional dancers na kupakwa macolour kwa uso
Tukaanza kudance kanungo kama tumeface ukuta tukiambiwa tusigeuke. After dancing for like 5 minutes. Nkageuka. Washaenda na nguo zetu viatu simu and everything we had.
Tuko pale na nguo zakaa za wachawi na bila viatu no one has a phone. Tukatoka nje tukikaa Luanda Magere. Msichana mmoja akaingia kwa kinyozi na kuomba phone. *The dad came kuanza akacheka.*
He was gracious enough alitukombelea mat ifikishe kila mtu mtaani.
(Stolen)
 
Top