A village Elder with 101 trophy points against 11 messages and 0 likes?
And joined the village on Feb, 20 2015?
[ATTACH=full]85689[/ATTACH]
A village Elder with 101 trophy points against 11 messages and 0 likes?
And joined the village on Feb, 20 2015?
[ATTACH=full]85689[/ATTACH]
Uko idle sana.
niliuliza hili swali administration ikafunga midomo kama ninio ya senge…
Compare to this SV
[ATTACH=full]85690[/ATTACH]
Saidi ya sana.
imagine that!
Hii watu ya admin ni wezi tu
Hata nikauliza nikilenga ktalk mpaka next year nitarudi nikiwa VS? Hakuna mtu alijibu. Ni sawa sawa. Huyo @Lola anafaa kua NV.
And someone is calling me idle for pointing out the inconsistency.
lakini mtu akiwa VE au SV au VS anapata benefit gani, hapa ndo mi hujiuliza hii swali sana
Those asking questions I think I got answers for you, each year mtu hupewa fifty points, ama? she z stayed here for two years that’s 100 points, 1 point haikosi alinyanduliwa na admin moja, sana sana @Deorro ndo akapewa hiyo point
@Deorro na yule msee wa SONY kuja explain hii phenomenon na diagram na scale model size 1:32 ama tufunge nyinyi yote tuweke kwa gunia.
@admin njoo hapa
[ATTACH=full]85694[/ATTACH]
Hii mod wako tutafanyia hivi
msee wa SQNY
fixed
@Deorro anajua maneno ya k.uma? ali twambia hawesmek bra.
Unasumbua, no one owes you anything. Everything you need to know about titles exist here https://www.kenyatalk.com/index.php?help/trophies you are just too lazy to read
By the way how and when does one become a SV or VS?
it’s possible, 2 anniversaries makes 100 points, or so I think.
Has @Lola ever been banned? If yes, then what you say is logical. If no, then how can the number of messages and likes be reconciled to the two anniversaries?