how to get rid of moles?

Status
Not open for further replies.

macho

Village Elder
#1
Hi guys,i have a small lawn that has been invaded by mole(s) ama fuko, how can one effectively get rid of them? Tried some paste like anti-mole dawa that you put on food na bado they are still there. Any help will be appreciated....
 

Mathaais

Village Chief
#7
I used to know this kamzee back in the village who was very good at trapping them. Maybe if you can send the busfare I can ask him to come and sort them out for you if he is still alive.
 

ombudsman

Village Elder
#19
Apparatus
A panga
Jembe
Matawi medium
Banana leaves
Vijiti vidogo kadhaa
Tafuta fito kitu one metre long.
A short stick e.g 8 cm
Tafuta a thin rod
Tafuta kamba kitu 0.5 metres. ( itoke kwa bark ya mti fuko hupenda.)
Tafuta Bait.

Procedure.
Enda pahali recent penye fuko amekula mmea.
Tengeneza hiyo shimo ionekane vizuri.
Tengezeza a nob on one end ya hiyo wire kama ile hangman hutumia
Funga hiyo wire kwa fito ukitumia the other end
Chukua ile kamba na ufunge on the same side umefunga ile wire kwa hiyo fito
Now ukitumia jembe scratch juu ya hiyo shimo ya fuko such that layer inaicover above it ikuwe thin
Kwa kutumia panga tengeneza mahali wire itapitia just above but near the the opening
Chukua hiyo fito na udungilie kwa udongo na ile side haujafunga hiyo wire na kamba
Chukua hiyo stick na uigongee mbele ya hiyo shimo ya fuko
Vuta hiyo kamba yenye inahung kwa fito na uifunge kwa hiyo stick
ingiza wire ipititie hapo penye ulitengeneza ukitumia panga na utengeze hiyo nob itoshane na hiyo shimo but ikuwe just behind hiyo kamba
Chukua matawi na utandike katikati ya hiyo stick na wire
Wekelea bait juu yake.
Now tengeza covering ya hiyo opening ukitumia vijifi alafu uweke juu yake matawi ya ndizi then uweke mchanga light ndio isiende kwa bait
Give yourself four a half a day. then utaona matokeo.

DISCLAIMER: SIO RAHISI KUELEZA UKITUMIA MAANDISHI. LAKINI NIMEJARIBU KADRI YA UWEZO WANGU.
 
Status
Not open for further replies.

Top