how would u have responded????

sometimes i receive some very interesting messages,i just look at them and i say “God,help me with wealth that i may put people out agonybut,help me with a platform to teach people on how to beg or borrow”[ATTACH=full]1385[/ATTACH] [ATTACH=full]1386[/ATTACH]

kama sikujui siwezi kupa. Imagine adanganye 20 people na hiyo 200 bob in a day. si hapo ni 4k kwa siku

Yet guys fall for this scam. Hawa ni watu wa Kamiti sending those texts!

Con men wa kamiti.kutoka lini stroke ikatibiwa na soo mbili?

by the way that guy might be making over 1k everyday

Hiyo ya kwanza labda ni dame uli dry fry so she expects you to remember

hii ni ufala ata fb kuna ma.bitch wako na hii tabia… sijui kama kuna mtu ame experience pia

Lol same here siku hizi niliachana na ujinga ya kuhit on wanawake on fb

saidia huyo pastor asishikwe na stroke…be a good samaritan

2 Likes

Ksh200 izo drugs gani?

i sent him 250 with immediate effect

1 Like

Blessed is the hand that giveth

1 Like

noooooo blssed is the m-pesa that receiveth

1 Like

Cannabis aka bhangi

2 Likes

Fuck all o y’all

[ATTACH=full]1399[/ATTACH]

2 Likes

umesaidia familia ya mtu ako kamiti sana