Http injector airtel

Good news kwa wenzangu who use airtel. Htttp injector is back and blazing. Mimi si kama jamaa flani ilikata kupea maninja settings.
Kama kawaida for htttp injector to work you need to create a ssh account, i assume nyote mnajua kama hujui google.
Host ni upload.twitter.com
Remote proxy convert internet.org and find it’s ip address. Port obvious ni 80
The tricky part ni kugenerate a working payload lakini am assuming nyinyi wote ni ‘geeks’ mtaweza.

1 Like

Good.
I’ll check it later

I saw this on global kos… Lakini enyewe I have to google what it does plus I’m on Safcom.
Net ya bure ndio nasaka

I just googled. So it’s a proxy?

Float mode:(

Following but floating…

Am using Airtel tho apo ndo nmefikia

i cant relate i no longer chase after cheap/free hindanet

1 Like

Who asked you jinga hii…niko na wifi kwangu but its fun kubrowse free

Omwami wapi iko shida ni fafanue

It’s about challenge, and am up for challenges

ukiona imeanikwa hapa jua inafungwa

My fren kama unatumia saf tumia hii host
olx.internet.org or safaricom.internet.org remote proxy jitafutie mwenyewe

1 Like

Inasema free basics unavailable. Thanks lakini

Haiconnect hata… hiyo remote proxy nimeconvert but hata haiconnect. Nikitumia anonymous proxies from hidemyass inaconnect though inanyonya

mkiconfigure mtu ehi pia

Could you please a detailed description, for the noobs, if it still works

Could you please a detailed description, for the noobs, if it still works