HTTP INJECTOR

kuna mtu akona ehi inawork…im kinda going broke sina bundles na nko kwa bus kutoka msa hadi nai

ngwara makende

2 Likes

matamuchi iko na chida

Sit next to a beautiful girl, vybe yeye, kesho letea sisi hekaya how you managed to get them slices

hahaha nimekaa na momo

1 Like

Wewe ndio ulikuwa umefanya ile deal ya Bamburi witchcraft?
Pole