Jana nimefika kejani saa kumi nikapata agent ameweka 2 Extra padlocks ,nikasema ni sawa acha niende nipate quarter ya hunters .Ya kwanza nikamaliza vizuri ya pili chini pia, kujaribu kusimama dunia inazunguka mbaya equilibrium ikaniambia kwaheri .struggled kiasi nikaketi .
Luckily ilikuwa ni local maboys kadhaa wakanichukua hadi maskani .how I got there and into the house sijui ,padlock za agent nimezipata kwa dustbin ,hao vijana walivunja mlango kwa hasira sana.
Mimi na hunters choice hatupatani tena.