What's wrong?

@admin nini mbaya na kijiji? Avatar zimemalysia wapi? Na hizo Google adverts utoe bana. Sitaki kununua mchele banae

[ATTACH=full]294528[/ATTACH]

Niaje dereva??

Usiniite dereve bana. Hii covid-19 imeniharibia form niaje.

@Tallman is @tall mnyama everywhere

Ayayayaya lakini usjali lamdlord akikuja kaa ngumu usimpe mashillingi

:D:D landlord ama caretaker…nimeongea na @under23 nikamshow asinifungie nyumba bana

Mimi bana nimetoka kwa nyumba jana nikaenda kubugia pombe kwa bar ingine inafungua chini ya maji. Ubaya nilikunywa haraka sana mpaka pombe ikaniharibikia.