I’m really confused between purchasing a Subaru Outback, Forster and an Impreza !!!?

Someone come to my rescue … I don’t want to regret later!

[ATTACH=full]236893[/ATTACH][ATTACH=full]236894[/ATTACH][ATTACH=full]236895[/ATTACH]

Jifunze kueke picha kwanza

get that KCP imprezaa, iko na turbo sio??

What do you need the car for? Large family=forester, active lifestyle=outback, bachelor mwenye hana mwelekeo bado=impreza. My opinion.

Meffi tumia hii full image option

[ATTACH=full]236929[/ATTACH]

Ezekiel, unakuwanga msumbufu.

niko hapo kwa active lifestyle

how much are the prices

Ya kwanza inakaa ya cool kid who’s well composed in life. I’d choose it.
Ya pli ni ya ferk boy even though ni just but a lingering stereotype coz my bro rides one and sisi humcheka sana.
Ya tatu ni ya family man who still reminisces about good ol days.

vipi makonika, umeshiba na fumes za exhaust leo ama bado?

Bro hata usisumbuke, expert wa magari niko hapa. nunua MAZDA CAROL. Hutapata shida maishani

I’ve always loved subaru

my bracket remains a subaru

achana na gari mzee chief. hizo zimetingizwa na njia za kenya, zimekunywa dust, zikachomwa na jua, zikapakwa rangi fake etc. lakini pia hiyo kcp uangalie vizuri usiuziwe gari ya accident. otherwise mechanical stuff is inconsequential and always repairable to perfection.

Tumia hio summary ya @magreb to decide

my fear too

ukishafanya maamuzi, pitia pale Nrb West ukamate lugha ya “you guy-my guy si we fika 'Vasha for anaa gudu one and nyamaaa some Toyochieths hapo Bypass

you guy, ebu don make fun of us guys from L.A.

hahaha … outback i can’t say that

Enhee the Outback is abit grown up & more practical.

Tafuta 3.6-H6 kisha nenda huko Lang’ata wafanye tuning upate kitu 400+ whp and several psi of boost.