i am tired of english

Wadau as you know i got a straight A in English , one of the few in kenya , pale FSK class of 2002 so that shows the art of grasping languages is not an issue . sasa of late nimeona osungu imekuwa too much kila mtu anaongea and since soon am going to be an expatriate and pia nataka kuwa when meeting some new momos i up the game above other fisiologists so i need to learn different languages hapa ndio munaingilia .

i need to learn German , French , Japanese , Kikuyu and mandarin . kindly advice on the best place the languages are taught and how much it costs . ahsandeni .

[ATTACH=full]129775[/ATTACH]

gui!!

enda soma chinese pale junction ya luthuli na riverroad…called RICO institute of management

jaribu sign language …its universal

stick to blonde.

leteni constructive advice

Si uambie mama clichy akufunze mungikirish?

Anko umecheza hii
[ATTACH=full]129781[/ATTACH]

Ngombe shika hii

[ATTACH=full]129783[/ATTACH] Na hii

http://www.language-cntr.com/

Enda huko Mtwapa kuna many places offering those languages. Target market yao ni Kunguru wanotaka ku hookup na foreign geezers for money so ujue uko kwa hio category

that ass

Mbesha ngapi?

You don’t know basic German,French and Japanese? hapo umeniangusha boss

hio kunyi jo!!

7000/-

Alliance Français
Goette Institut
ACK Language School
K.U
Confucius Institute UON

Haven’t tried it but I hear it has some hilarious bugs

ntapata wapi omwami ?

Pigia hii number ‭0724925236‬. Jamaa anaitwa victor, shop inaitwa vivid gold. Ata kama uko kimilili watakutumia na basi

ahsandi birionea , na waambie wanipee discount ya peasant