Good people of the Ktalk Commonwealth, who can direct me to MCA results?
Enda mahali ulipigia kura. Imebandkwa kwa ukuta. Kama hakuna, sue IEBC.
Which county and ward?
Mjama hatukujui na unataka tujue MCA wako?
Riruta Ward, Nairobi County
Did Maji maji of Ghetto Radio win or lose the MCA seat he was vying for?
He was vying?
huyu ni wakanyama
Alianguka ile ya ukweli sio baba style.
Nimefurahi aspirant mgine hapa amehata kurepeat. Hako kamweshimiwa kalikuwa kanawinda madem wengi sana. Kwa club mara mheshimiwa yuko hapa. Yaani mimi niko club na yeye kila siku usiku sacco. Kazi ni tu pombe namadem. Ni kazi yangu pia Lakini vile ye amezidi angevie women’s rep
Enda portal ya iebc
That tells it all
Asante Mr Bigs. Got the jamaa who won! Didn’t vote for him.
Diwani kama 60 walifkuzwa
Kuna talker alikua kwa debe kwani hakufika Canaan?