I Lost My Girlfriend.

Wasee Niko na noma ingine wagwan sana. Last yr April nilipata na dem fulani mfiti sana. Sasa hivi ndio tulipatana, nilipomada campo nilienda internship hapo kwa subcounty yangu. Sasa huyu dem alikuwa anatuletea chai coz hoteli alikuwa anawork ndio ilipewa hiyo contract. So mi kumcheki akanibamba na nikaanza kumvizia. Dem aliplay hard to get but at long last nilimuwahi. Tumepush na Huyu dem all along na qualities zake to my standards aliniimpress. Alikuwa ameniaminia yake yote to the extend that hata jamaa akimsignal, alikuwa ananishow. Hata my best friends walikuwa wanamkatia hadi ananishow. This made me lose my trust with them.
Sasa hivi majuzi dem ameanza kulalamika eti kichwa inamuuma, Mara hataki light. So tukamrush kwa subcounty hosi yenye iko around. Mafala wakaanza kutreat malaria. Then eti tumejaribu kupima but hatuoni ugonjwa. Ikabidi dem arudishwe home after 4 days za kustay huko. Huko home things zikaendelea kuwa worse ikabidi akimbizwe county hosy. Huko kupima wakapats kumbe dem ako na meningitis so akalazwa. Wakajaribu but at long last dem akapass.
Hiyo kitu imeniaffect vinoma sana. Niko depressed. Sikuexpect kulose huyu dem in such circumstances.
I feel a lot of pain coz she was one of my best. So talkers is there anyone who has experienced the situation? And how did you overcome the same? I need to move on.

Pole sana

Waah!!! Bro take heart all will be well…pole Sana.

Pole boss. Been there. With time utakuwa poa. Pole kwa msiba.

Pole sana Kaka

iza mzee shit happens

pole bro

Pole mzae.

Pole…

Pole sana

pole sana.
allow yourself to mourn her and with time you’ll heal though not forget

So sorry. Be grateful for the time you have been with her. May she RIP

Pole sana boss. I cant even imagine what u are going through

waa, pole manze n may she rest in peace.

pole sana brathe…

I lost my younger brother on meningitis. By the time it was diagnosed as meningitis and not HIV, it was already too late. The doctors sat us down and explained that at the stage it was only 1 or none out of 10 survives. We watched our brother go in a slow death. He was at the fourth form at the time of his death. Its really painful watching your little brother, helpless with nothing to do, knowing that he’s gonna die.

I feel you.

Its OK to mourn.

But, don’t let the mourning control you.

Remember, death is uncertain and it always robs us the ones that we love the most. Be strong.

To my little Bro. R.I.P

Pole sana. Meningitis has claimed so many lives. People, make sure you’re upto date with meningococcal vaccine.

@Chloe thanks for sharing, pole.

Very sorry for your loss. Take heart and look towards the good times you had with her.

pole sana, mipango yake mungu lazima zitimie, its sad now, but time will heal your suffering.

Pole sana kwa msiba. Allow yourself sufficient time to mourn. It shall be well.