i love Gado

huyu jamaa hukalia hawa watu proper…kudos GADO [ATTACH=full]138960[/ATTACH]

kamua yeye polepooooole…

kabla Methuselah azaliwe.

Enda archives zake uone vile alikuwa anachora wasee wa KFF na Harambee stars:D:D:D:D

Huyu Gado kuna kitu anavutanga

Kweli.
Lakini usomange threads za watu pia.
Juu hii tuliona kama bado nanyolewa punk.

ABABU AMEUWA MCHEZO

This doode likes carrying us pumpkin

Woeful Wonder rarely reads other threads and even if he does, he must post his own threads on similar topics.

Huna habari punk or is it box imerudi?

Najua zimerudi.
Yangu ni reverse punk though.
Nywele za kando ndio ziko.

I always feel like you are my dude in RL.
You have an uncanny resemblance in word choice and opinion w/ a certain psychologist friend of mine.
He was also a big WuTang fan.

the trail of maffy following mr sarai!! hahaaahh

:eek::eek: