Wakubwa,nahitaji voice-over audio ya kuweka ka Skiza Tune na pia kutumia kwa promo video. Script iko tayari :80-100 words. Nani ataokolea? Na charges naexpect kitu kshs.500-700 Audio ikuwe high quality tafasari