Wakubwa,nahitaji voice-over audio ya kuweka ka Skiza Tune na pia kutumia kwa promo video.
Script iko tayari :80-100 words.
Nani ataokolea?
Na charges naexpect kitu kshs.500-700
Audio ikuwe high quality tafasari
Wakubwa,nahitaji voice-over audio ya kuweka ka Skiza Tune na pia kutumia kwa promo video.
Script iko tayari :80-100 words.
Nani ataokolea?
Na charges naexpect kitu kshs.500-700
Audio ikuwe high quality tafasari
after lunch, acha niapate ka-siesta.
Nafuta mrembo moja huko kwa zakibag, am sure you will one with sweet voice.
Bora audio ikuwe high quality
Nipe hii tender. I am a VO artiste. You wont be dissapointed
Ukipata share code tukupromote
yule jamaa wa viatu ni miaa mbilii kwa stalls ako aje?
Hizo pesa ni kidogo.
Tuma sample nisample
kabisa
Hiyo ndo naweza mkubwa
Jamaa yupi?Sikuelewi
Ukitaka quality, do it in a recording studio and they charge per hour.
Voice over for 700 shillings for 100 words?? Peleka hiyo kazi yako tao mahali kuna maandamano! Mscheeeeew!
I have a super bass. ongeza 250
hehe.najua sauti yako iko specialised kuTibim na kuTialala
Sasa itabidi niingie Fiverr
Kuna wahindi cheap lakini sijui ka utatoboa na hizo accent zao.
Tafuta dj Afro amigos ama mwakazi wa citizen
http://www.djdropsbywigman.com/
Ingia hapo kwa Wigman upate Drops na voice overs za Radio, Djz na production. Bei yake iko tu sawa
swafi.ebu niangalie mkubwa