hizi ni music ya the golden age of EDM so hii ni video ya 2012-2013 ish. Hawa probably ni watoi wa Brookehouse walimaliza shule celebrating before joining uni majuu.
Slay Queen siku hizi wako B-club in Kilimani, 1824 in Langata or Space lounge. Ukitaka kumeet such boujee ladies then try Akina Alchemist or Privee