Iceland yawashangaza wengi

Huku Iceland ikiishangaza dunia kwa sare ya 1-1 dhidi ya vigogo Argentina kwenye mchezo wao wa Kundi D katika Kombe la Dunia 2018, kazi hasa ya Kocha wa Iceland Heimer Hallgrimsson ni udaktari wa meno na mlinda mlango Hannes Halldorsson ni muongoza filamu.

[ATTACH=full]176704[/ATTACH]

Yajayo yanafurahisha.

Jamaa waliweka ukuta aiseee

Hata mimi sikutegemea kama wangekuwa wazuri…

Bila kusahau wale wadedli wa msalaba mwekundu…

NADHANI DUNIA YA SASA YA UTANDAWAZI KWENYE SOKA HAKUNA ANAE MZIDI MWEZAKE KWA KIASI KIKUBWA MFANO BRAZIL VS SWITZLAND. GERMAN VS MEXICO

Jidanganye…

SIDHANI KAMA NAJIDANGANYA ILI HALI MATOKEO YANADHIHILISHA HILO KWA SABABU HATA WANAOSHIDA WANASHINDA KWA SHIIIIDA SANA ONDOA SAUDIA AMBAO WALIFUNGWA MKONO

Hiyo siyo fact…hapo ni mwanzoni tu mwa mashindano…hata bingwa Spain alianza na poor results 2010…

Hahah!!

VIPI KUHUSU MATOKEO YA CROTIA VS ARGENTINA BADO HUAMINI KITU NINACHOSEMA?

Kwan hapa tunaongelea Argentina pekee??? Kwan huwaoni Belgium na wengineo??? Halafu kuhusu Argentina subir gemu ya mwisho…