Iebc

Mimi nauliza is this a plan for another 50000 jobs?
Hii kazi ya IEBC tuna apply lini?

walisema dpo hawatupei kama hatuna 27 years and above

1 Like

Kujeni na @Chifu wa kwenu niwaongezee miaka tatu kila mmoja

1 Like