If HIV failed to correct our sexual immorals what else can be done?

HIV wiped out millions of people world wide, but that has never taught us a discipline towards our sexual behaviours.

Up to now days you can come out of a night club drunk and pick a partner who you will end up having unprotected sex with.

Health is an asset given free to you by God and those non believers will say by your biological parents. This asset is more valuable than diamonds, gold or high rise buildings in the city. Because it is not easy to rebuild it once is broken.

People have to die…the world is overpopulated now…imagine 1.6bilion only muhufuka Chinese. So there is nothing wrong with HIV it has to be there and prunes more people and keep the world sustainable and habitable.

Disease has advantage too…hatuna haja ya kuyalaumu magonjwa mrembo yana kazi yake pale yalipo. We need to die.

Good die young!

dah kimombo icho, raha sana ukiijua ii luga ya malkia!

Ni zamu yetu wabongo kuonesha sisi ni watabe maana tunapiga miguu yote kama Fabregas tofauti na ndugu zetu wakenya wao hawawezi kuandika wala kusema lugha moja kwa usahihi hadi wamix Kiswanglish.

Tembea kifua mbele …(in magufuli voice).

nimearibu sredi, kiukweli ilibidi niwaache na Eclat mkichape haswaa!

Hapana!! Hujaaribu mkuu… Umeleta ladha ya lugha adhimu ya kiswahili. Endelea kutiririka tu.

Mwenyewe ninajifunza kwa majirani. Jiwe limetupa baraka ya kuijua lugha ya malkia

@Sky Eclat… Jukwaa la Afya lishaletwa tayari…

Cc: @Mahondaw

Mimi hata msupa awe na ukedi nakamua dry fry na kumwaga ndani sana, kesi baadaye

TZ HIV rates ziko aje?

Mmh unakua kama wale malaya ea corner bar, wanasema Kufa na njaa leo si kama Kufa na HIV baadae

Nafurahi kukuona huku dada sky Eclat.

Hivi @Sky Eclat ni mtoto wa kike?

Muulize mwenyewe mkuu,.

Huyo hatonijibu

Haha ,kama umetokea jamii forums ungekua unamjua tu.

JF I was banned like an hour or two after joining…kisa, kiherehere eti, nasadiki kuwa nitamjua tu

Hahaha pole sana mkuu,tutafahamiana huku.Nilikua member jf kwa zaidi ya miaka 9.Siku JF inafungwa ilibidi nirudi facebook ambako sikuingia kwa miaka miwili,hii serikali ni wajinga kweli.

Nakuelewa chief, sisi tulikuwa kenyanlist.com, bahati mbaya mwasisi wake akaaga dunia late 2014/early 2015…ndipo ktalk ikazaliwa kisha tukahamia huku. So far so good

Local social forums zenye local content ndiko ambako watu tunapeana fursa na ujuzi ambao mtu hawezi pata anywhere for free, tusongeshe tu hili tairi ili kupashana habari na kupata maendeleo.