Inanikumbushaga nikiwa class 3 banae,tulipelekwa kwa homestead ya student alibondwa na motii manze kichwa ikapasuka but wakafanya ukarabati ndo aweze kuonekana kwa coffin. Sikulala hio night. First time kuona messed up dead body up close. Tuliimba hio wimbo that day.