If you know these old words tukutane hapo nje kidogo

Jobi

Village Elder
#10
Ndururu - 5 cents
Kobwang - 5 bob
Ponyi/ Nine Nine - Police
Ngwetes/ Kaasho - Ngumi/ Blow
Ako Ridho - He's alert
Senye - Punani
Chiviu - Catapult ilikua inatumia waya ya stima.
Duf mpararo - swimo ya mtaa.
Game and Watch/GameBoy- Playstation ya 90's.
BMX - bike.
Safo - Safari Rally... Lancia Delta Intergrale, Shakhar Mehta, Juha Kankunnen and Juha Pironnen.
 
Last edited:

pohpohpoh

Village Elder
#15
Ndururu - 5 cents
Kobwang - 5 bob
Ponyi/ Nine Nine - Police
Ngwetes/ Kaasho - Ngumi/ Blow
Ako Ridho - He's alert
Senye - Punani
Chiviu - Catapult ilikua inatumia waya ya stima.
Duf mpararo - swimo ya mtaa.
Game and Watch/GameBoy- Playstation ya 90's.
BMX - bike.
... Maze apo kwa "chuviu" na "duf mpararo" umenirudisha mbaka pale geri yetu ya sao (now ksouth) , izo ndio zikuanga "Hunger gamez" zetu . Kwanza ungekua na chuviu ya kariaria na skari ngutu ulikua ready for war
 
Top