Ifikie Wazazi

Watching this thread on facebook and twitter makes me symphathise with the generation of the future parents. Dunia isimamishwe nishuke bwana!!! Watoto na cameras - very dangerous!! #ifikiewazazi wadau what’s your take on this trending matter?

Its actually sad, from a parental point of view, am speechless

Ni sawa tu kwetu ambao hatuna watoto. Tunasafisha mecho bila kusumbua. Alafu vile shule zimefungwa, hata rungu lazima tusafishe. This is why I pray I never father daughters, hiyo stress siwezani nayo.

Ws

Wapi link

which thread meffi. tulisema riddles hatutaki

What makes you think that everyone here knows what you’re talking about?
Weka a detailed thread with a bit of background.

Fika pale twitter and just search

#ifikiewazazi

Pictures everywhere

Hii tabia inaanza na wazazi, angalia huyu jamaa anatime watu wapungue beach aanze kuoga [ATTACH=full]166161[/ATTACH]

Ni story ya babaymama

Ktalk birrionaires are too busy for twitter. Let me head there nione kama iko mjadala ninaweza changia.

Reminds me of the movie line, as I get older they are getting younger.

Since being a slit is in tutakuwa tunakula kunguru murwa when old age kicks in.

Let the kids be. Hata nyinyi enzi zenu you used to sneak out at night kuenda “jam session”. These kids are just doing the same, only that we’re in the ICT age where this stuff happens digitally. So, in my opinion, I see nothing wrong.

Kisha uzitupe huku.Social media kwangu ni ktalk na Whatsapp na hangout.Sitaki zingine

The internet never forgets. Sadly.

[ATTACH=full]166164[/ATTACH]

Kwa wazee wa kiji that’s the tip of the iceberg. Indecency all in the name of photography.

If you defend those kids for their madness uko na shida kwa akili. I say #ifikiewazazi
Watu wanafaa kujua kuna consequences. Kuna moral decay. In our time hata kama tulifanya vituko haikuwa namna hii ya umalaya public. Wamekuwa pornstars tena kwa public streets. Nkt. Wacha ifikie hadi ancestors. Wangoje job interview zao… Itakuwa hillarious how wataget disqualified. The internet never forgets

How can we claim to be more morally upright than they are na tuko na MYK, wale hawana wamepanga line pale sj wakingojea turn yao na wale wengine wanararuriwa mikundu?? These kids grew up observing how their parents relate/ don’t relate. Kitanda tushaa tandika. Sasa ni wakati wa kulala bila kusumbua

[ATTACH=full]166165[/ATTACH][ATTACH=full]166166[/ATTACH]

Wah:eek::eek: