IG content needs regulation kiasi

Wenye wanajua this party animal called Joe Muchiri am sure mnajua how popular he is on Instagram with many many followers. During covid and with closure of bars, huyu mse ame mea kitambi viserious. Alipost ma video zingine Jana ati ameenda kwa clinic flani kumaliza utambi. Technology yenye inatumika ni ati wanaweka machine flani kwa tumbo. Hio machine ina target fat cells one by one halafu ina zi freeze to death. Naskia mabonobo wamejazana kwa clinic wanataka ku freeze their vitambis to death.
Do not be fooled, hakuna shortcut ya kutoa kitambi apart from diet and HIIT exercise ama rodi. Kweli wajinga ndio waliwao.

Watu wakona hii Kenya wanakuanga unfit.ukikunywa pombe Kama huyo joe muchiri unafaa ikuwe Umepata liver na kidney donor mapema juu ukifika 40 utashinda hospitali ukifanya dialysis

hiyo kunona uso hukua early signs za fatty liver

Hahaa ati fat cells, kama si tizi, diet, ama surgery hii ingine yote ni upuzi, kwa bio sikubuki cells zikiwa na fat

Joe Muchiri ni ngombe sana hio ghasia,…Short mbilikimo who weighs 100kgs kama ngiri ya kijiji @kush yule mnono

I really hate fat people

Ni liposuction anaogopa kusema ju inasound kimama mama hivi. Wataingiza a long syringe like nozzle kwa area za mafuta na kuanza kuzivuruta. Makunguru ndo huifanya sana,wanatoa mafuta kwa tumbo kisha wanairudisha kwa diabs hivi

Got curious and went to his IG and I can see there are no such videos.
https://www.instagram.com/joewmuchiri/

Mbona unapenda kudanganya elders?

Na hao ndo hukulipa poa for your services

Nguruch jifiire umbwar hii

Am fasting sitaki kelele tafasali

Ndie huyu mwengine

Kuna difference kubwa Sana between ku post videos na kuweka insta stories.

I get it.
Working out requires discipline and personal sacrifice ambayo this midget hawezi.
He’d have to give up the 1824 lifestyle

It will be tough juu analipwa na hizo ma club ku pull crowd thru social media zake