Iko mtu anatoa machozi leo

Status
Not open for further replies.

Davidee

Village Elder
#1
Just passed by ile stage ya railways, naona ile project ilikuwa inaendelea kwa hako ka land imebomolewa vibaya sana.Si huyo jamaa ameenda hasara, hao zilikuwa zimebakisha mlango tu.This lands issue in kenya is getting out of hand.I'm sure iko some big fish alikuwa amekula tayari.
 
Status
Not open for further replies.

Top