ilifika Jana.. Nasiringi....

Just Upgraded from this…

[ATTACH=full]33805[/ATTACH]

To This…

[ATTACH=full]33808[/ATTACH]

I`m not into Android and have been a Loyal mteja of Nokia but kabla tutolewe Whatsapp,wacha nijibambe na hii…

Enyewe this is the Future… Mambo BAD!!!..

3 Likes

whats that?
it looks like a toy

Hapa ni preoder, nataka moja.

1 Like

Wewe endelea kutaka… Its Exclusively for KTalk Birrionaires… Wewe ni moja wao?

1 Like

Preorder inaanisha nini? Meffi.

2 Likes

It’s a vibrating butt plug

3 Likes

thanks.
dont need one…
so yours is still functional

Watu umri yako ambao wako UK wanajenga ma flats pale Westlands na hawasumbui…wewe hapa unanunua kasimu alafu unatusumbua…see yrself

27 Likes

Am not kind the gets excited by gadgets but hii indai.

Senior driver hata akaaishi 200 years akisave westlands hawes make. I hope yeye hucheza lottery kiasi kuongeza odds.

6 Likes

Wivu itakuua kichana!.. kikikiiiii…
Flats zilijengwa kabla haujapanda ndege. Sasa ni kujibamba na “Toys”…

Fanya bidii kijana,siku moja utakuwa kama mimi… Kikikiiiii…

2 Likes

Wacha udaku

1 Like

mangapi hiyo s7?

Huku Safaricom preorder ni 85k, kuimport ni mangapi?

1 Like

Ni jokes daddy…cheza chini.

2 Likes

its a vr headset…

1 Like

billionares dont need to know what it is as much what purpose it serves.
most importantly does it give the neiba sleepless nights,thinking of which is the fastest way to join illuminati branch of money

2 Likes

Already have it na haturingi!!

5 Likes

Good for you. I am too excited i am telling anyone that will listen… Kikikikii…
This is the most fun i have ever had with my clothes on!.. Kikiiiikikikiii…

1 Like