Imposter Waiganjo

[ATTACH=full]127951[/ATTACH] [ATTACH=full]127952[/ATTACH] [ATTACH=full]127953[/ATTACH] There are men huku town kazi yao ni hizi, mara leo ni mtu wa music copyright anaenda kushika our resident dj hapa, tena ni mtu wa ntsa anashika @Meria Mata hapo barabara ya mtito, tena ni jamaa wa Nema anaraid bar owner ama newly constructed buildings. I remember an incident where a police imposter alikua anajoin cid daily on their beat till the day they realised huyu jamaa hajawai kuwa assigned na any of them na pia hajawai kubeba romeo, alikua anabeba walkie talkie haina charge daily. Nwe man must live, and I have never seen a man with so much confidence as an imposter.

That man is non other than @inzhener otmetka

Hatari.

Kitunguu lazima inuke lakini hii imezidi

Hiyo osungu.dll kwa official IDs ndiyo imemuuza.

Sarvailance-talkers,when grammar nazi’s here correct you,please listen and learn.

People have guts

Tuwache kutaja watu ovyo ovyo tafadhali

Naona wakisema “Epson Printers” zote zibaniwe kwa Kenyan market. If you know what I mean.

So many spelling errors - total giveaway…

Kwanini yuko bado enzi za CID yet anajiweka SSP?? He is too dumb for life.

Look at this one

[ATTACH=full]127955[/ATTACH] Hehe this guy was good. With a bodyguard in tow

:D:D:D

Chora yeye ile TaTa ya @ranjeet na mama @mishty

give the job it is

Miti ikiteleza hakuna pakushikilia,grad somewhere ni x convict for the offense of impersonation ,hii ni trait kali sana.

Takes one imposter to know the other…

hehehehe

Na ID ya police hana uniform