In love with infinix

Inifinix is the best phone in the market currently

support your answer…

Cause you bought one and it led you here…

Simu ya maskini

Kuja in three months utuambie tena how good it is. If it will last that long.

If you just upgraded from kadunda note 1, then you will be understood. One day you will sample something else.

Infinix ni mingi. Be specific and support your claim. Stop soliciting for comments with general statements. Infact reverse your seniority to NV until you learn what to post

Now this is a topic in our village!!! Isorait.

For a budget phone, yes, Infinix is the best Phone in the Market. The supporting points are:

  1. Software updates. Kila simu ya Infinix mpya iko Nougat kama ilitokea na Marshmallow. The older phones got updates from Kitkat-Lolipop to Marshmallow.

Kama uko na Samsung, HTC, Huawei au Sony ya below 50K, usitudanganye ushaipata update. Labda minor bug fixes. Samsung hupata security updates kwa S na Note series pekee. Major OS updates, Infinix hupata mbele ya Samsung. The reason for this is;

  1. Almost Pure Stock Android OS. Infinix XOS is almost pure android kutoka Google. Only difference ni Launcher na additional settings. Compare na Touchwiz ya Samsung, EMUI ya Huawei. Those things are heavily customized and laggy af. Samsung is snappy for the first few months. There is a reason people call Touchwiz(now Grace UI), Lagwiz. Ebu enda watch Speedtest ya S8 vs OP5 with same SOC 835, Samsung ni lagging tu juu ya Touchwiz.

  2. Support. Hapo Carlcare nyingi Kenya.

  3. Disposable so unaweza tumia kuchezea na custom roms na installing Linux on it. Most expensive ni 25K

  4. Fingerprint scanner. Kama phone yako ni ya major company na ni below 50K na iko na Fingerprint scanner, inua mkono. Infinix wako na yenye ina-compete na Iphone(youtube review) for 9000/=

  5. Snappy for its price. Hapa naambia watu wako na Samsung na Huawei waguze Infinix Zero 4 specifically. People think their phone is snappy till you touch an almost stock android os.

meffi…the only advantage naona Ni that he has heat supply in his pocket 24/7

infinix and xiaomi phones ziko poa for rhose with budget of under 20k, samsung watakuuzia simu ya 16gb for 30k which is a total rip off considering that they supply infinix with the internal storage (emmc) kama sai wako na j7 2017 which costs 31k na simu ni 16gb & 3gb ram

Sioni the allure of smartphones.
Simu ni ya kuandika “meffi” na “keti pale”, kuchat with underage girls na kutuma mpesa kwa malaya.
Hizo vitu zote zingine tunafanya na laptop + desktop.

Na usiniambie maneno ya “On The Go” juu kurender whiteboard animation yenye mzungu ame outsource upwork ukitumia simu ni stress… If even possible

pia me hii upus ya kushinda kubishana kuhusu simu kali ilishanibore. Kila mtu anabuy simu kulingana na budget na income yake. bahati ni ati ziko available for all types of any working Kenyan.fuk fons fuk elections

Hapa umenena.
Heri ununue infinix mpya every 6 months. In 4 years, utakuwa umefikisha bei ya flagship Samsung phone