In the name of love

Elgin

Village Elder
#24
Monday
Took her for a drink on Tuesday
We were making love by Wednesday
And on Thursday and Friday and Saturday
We chilled on Sunday
I met this girl on Monday
Took her for a drink on Tuesday
We were making love by Wednesday
And on Thursday and Friday and Saturday
We chilled on Sunday.
 
#25
Happened to me nkiwa campus. Had vibed Betty and was madly in love with her. Iyo time Mimi peasant Sina nguvu Sina uwezo. We could just go for a walk and all I could afford ni smoky tu. So dem akakazia pudesh Nadhani Cz sikua natoboka. Tried all tactics but were all in vain. So kuna tym beshte wa campus stivo amenikol kwake alikua na bash. Kufika pale nguvu ziliniishia. Apparently Betty had been there all night. Steve ananishow vile ameangukia iyo kunguru na vile grip iko sawa. Mood ya pombe ilipanda, nlikunywa iyo pombe yake Sasawa then after a week I revealed to him that I was after that chick. Anyway tulikuja tukaelewana infact next week nampeleka kulipa mahari.
 

Doc Oga

Village Elder
#26
Kuna Dem nilikufia nikiwa colle kammeru fulani kafresher. Sasa Doc nilikuwa nakarushia macho tu kwa umbali nikipanga vile nutakarushia Mahindi.

Nakumbuka poa nilijiposition area fulani strategic after kusoma her movements ili nika- ambush ka chui kakitoka hostels. I didn't fail happy nikapata hata namba na ikakuwa tutameet for lunch hivi later that day.

Kitu saa Saba tukameet na Toto na nikabuy lunch ya ki-peasant hivi nikurusha ma one two and other stories of Giants , kujitetea na kuomba vitu and decided tutapana on Thursday at a certain local. Nikaenda kejani nukijuwa vitu nitakula very soon.

Thursday ikafika, Doc nilikuwa nimedunga yangu your plus marashi ya AXE ili nikate hio mzoga. Nikadungia Toto na ikaconfirm date iko. Kitu 6pm mzoga ikanipigia niichukue na tukaingia local na kuitisha kinywaji na tumbukiza nidiseke mtoto was wenyewe njaa. Punde SI punde hata kabla niteremshe 1759 yangu, Blue boys ama ni boys in fucknblue wakaingia na ubaya ordering everybody asijaribu kupotea. Kutoka nje Kuna Land cruiser na ndani ni OCS na hataki upussy kwa hip gari(ladies were not to be arrested) so mtu yangu akaachiliea mandume Hadi stenje na hawataki pesa Hadi mwenye pub ajilete. I called the girl before nifike kakasema katakuja stenje and she came together with some of my friends but hakuna kutoka.

Kesho yake asubuhi nikajitetea kwa OCS kuwa Mimi ni student na nikawachiliwa. kupitia kejani yangu napatana na Yule Dame akitoka na Kevo kwake na zile zile nguo alikuwa nayo jana... Nilirarua kicheko kubwa Hadi Dame akatoka mbio ...My crush had been eaten baada ya Mimi kukatakatia nappier grass, kupatia maji, kukamua Maziwa lakini sikunyua hiyo Maziwa. Hivyo ndivyo Kendi alipigwa stick nikiwa guest of the State.

Thursday
 

kemoni12

Village Elder
#27
Oh, did I love a certain teacher in my primary school days. She was the reason for all my wet dreams. Now when I was in std 5 she got married. I cried under my blankets. I wept so hard but I couldn't let people know that it was the teacher who made me cry. She was now not teacher Kirigo,she was Mrs. Gitonga.... I can't tell what I was to do with her but I just loved her like crazy.
:):):):)
 

Top