Infinix bila flash Naivasha E02

Juu nilikosa ujanja ya infinix itabidi nimewapangia rusungu bin maneno ikiokotwa hapo kwa kicheko…
Momo: Kwanini unaogopa kuongea?
Nyau: Sipendi kutumia mdomo
M: Hahaha, ery utumie hiyo juu ukiitishwa iyo ingine hautaweza
N: Na chupa nikiongezea?
M: Umepungukiwa aje uache mwile utumie coke
N: Hahaha, last time nlichochwa hivi nkaona mtu akitetemeka, btw nyi huinuwa aje na vene mi naoza mguu moja pekee ni mzigo kwangu
M: Nmekuambia hutaweza, wacha I get you a number
N: Sure? Though sipendi kudharauliwa… Labda uone kuni ndo uniaribie jina Naivasha
M: Hahaha, Jesus! Lets see, ukiniharibia raha wewe kesho hutaamka
N: Labda nimeze mchele,…
M: Hahaha, mimi si wa hiyo tabia, napenda tu fan. Na hii guiness umekunywa yote?
N: Gari ni dereva, si mafuta
M: Vijana wa skuizi
N: Hehehe, si umalizie nkuonyeshe Nax Vegas
M: Nkt, huku ndo home.
N: Sawa, we nionyeshe tao mi ntakuonyesha vene nduru huundwa
M: Hahaha, hahaha, Nkt.
[CENTER]*** end of E02 *** [/CENTER]

@Guru kuja ushangae ya filauni…

And on that bombshell ---------------------------------->

[ATTACH=full]114774[/ATTACH]

Wee mavi ndoto zako jiwekee mwenyewe

:oops::oops: Mvua skuizi uchagua place ya kunyesha, we washa nduthi porepore…

Hata watu wa ngorika hudai nax vegas ndo home

pussy hii hekaya haieleweki.

Ngoja E03, utaona hyo pu*** sasa