Infinix bila flash Naivasha

Kuna vene hizi infix ka hujazoea kutumia then kupiga picha bila flash ni ngumu. So nmeenda kucool kichwa Naivasha napewa recommendations - Bubbles and Blaze, btw real niggers dont recommend popular clubs nikajua hii wikendi is one fucked up one… kidogo naingia bubbles and like all Nairobians nalenga bouncer nagotea waiter wa kwanza (sema feeling ya kunywa drink on bills?) Hii tabia ya kuitishwa pesa na kila order sijui ilitoka wapi. Kitoko porverbials momo wanajiseti karibu, saa niko “uben 10 pia si mbaya” but lugha iko chini sijui nitumie “mum” au “bae?” Fungua bundles hugoogle hii kitu (my mind tells me) fingers ziko talking mbaya but tulikosea wapi google au Njoki chege ndo tunamtumia vibaya - Inafaa aingie hii mpasho style (How to tune momos, five will f**k you) But anyway, natap huyu jamaa amekuja na crate ya heineken (nini husumbua watu na pesa) namuuliza kwa utulizu - Hizi FIAT (gari kubwa) ni zako zote? Anajibu kwa upole - mwanamme ni kujitetea: Hehehe, nigger kwani heineken ina mdomo? Sawa, natap waiter tusort part bill nje kisha namshow amakek sure kila drink wazee wa naivasha wananunua napewa standing ovation, sasa mum akaanza kucheka na mi nimestart kupunguza drinks coz hata ka ni two hours Nairobi na Naivasha bado ni mbali… I swear nahitaji simu ingine yenye haina flash (TBC)

rudi kihooto pole pole

Kumbe ulikwa slumdog kabla ujue KT? Kuna ingine ilidance blaza nami nashuku ni ya huko, hainuki hata lady gay

yaani unajipeleka kwa a pack of foxes (read pack of shiny eyed momos) ukiona

Huh?

Hehe… have you considered the amount of time he took

man! do you think he is alright?

Mshika dau nilichapiwa hizi ng’ombe once umeovercome hiyo mafuta unaikimbiza inaamka ikitetemeka, nani hatapenda iyo?

Najua niko sawa - Saa kila siku mtu hukamua saa kumi na mbili on the dot; saa ingine inabidi umechelewa

ati kìì?

Aga íno níyo itagwo míario ya arùme.:D:D:D eke tùieherie porepore.

haha niho heragwo hareme, todu ona translator dangituteithia

Unatuchenga na handle ile ingine ,isokey,isorait.

I am not. honestly…its just an effing coincidence.Surely,does my writing style compare with @Pseudonyms ?

Hii plan ya Wamafeelings ya kuvutia ‘members’ na tuBamba10 sio poa.

@Nyau this is good writing. Anyway tafuta @uwesmake ndio master wa kudeal na momo.

Hai…unasema nini @Nyau but I have never understoond cats why should I understand you?

[ATTACH=full]114547[/ATTACH]

Lakini unajaribu kutuambia nini?? Ama umechanganyikiwa kama food za @kihii

http://en.africatime.com/sites/default/files/styles/large/public/photo-articles/2014/Sep/former_president_mwai_kibaki.jpg?itok=PQ_KeUiG