infinix &tecno

Mbona majamaa wanachukianga hizi phone?
Ati huwezi ingia nazo political rally juu zinakaa kama IED.
Nimeona infinix zero 4 sio,kabaya.

1 Like

…Political what?

simu za u fuaken sana

nime shindwa nilenge ama ni mulize ni nini ana andika

1 Like

Nimekimbiza Swype kama nyang’au

a piece of advice… stay away from those phones unless yu very broke and cant afford a proper phone. you will only be excused if you are broke and you are still in college.

3 Likes

Weee mujamaa ya lapuz, mbona zinaudhi?
Ama ni vile sijatumia for an extended period?

1 Like

Sio long lasting ama nini?

INFINIX unaweka kwa mfuko inaanza kukuchoma kama sijui nn…ikipigia watu simu unatoa kwa mfuko umetext ex. wako… na ukatuma number kwa lotto…

3 Likes

@Koolibah kuja mbio. Kipenzi chako mediachieth kinatupiwa cheche za chuki.

4 Likes

Priss, ukinunua hizo simu usiwaijiita mwanaume. Ukitaka quality bila kutoboa mfuko kuna akina Xiaomi na Oppo na kukiwa mbaya saidi nunua SamsVng. Ile malware hiyo simu itapokea ni exorcism tu ndio itaiokoa.

4 Likes

whats your budget i give a couple of phones you can get…

simu za kutembea na charger kwa mfuko hatutaki infinix hoiyee

2 Likes

10-12 k

samsung phones are over priced with very stupid features ati 750 mb ram SERIOUSLY… siwes

6 Likes

infinix iko tu poa na battery… but that is an accessory it can be replaced on any phone…

most phones saizi zinakam na inbuilt battery so swapping batteries hakuna thats why quick charging is common…lakini kama kuna brand inauza jina ni samaung especially kwa low end na midrange very mediocre specs

1 Like

Kwani mnatumia simu na nani buy what you want and what you like you don’t owe anyone an explanation hata ukitaka kubuy booth go ahead

21 Likes

I can’t relate … Still using the first infinix hot note 2.5 yrs later na nitaichange 2022.

10 Likes

htc desire series 728 816, 820… iphone 4s, iphone 5 not the 5s, lenovo k4 and many more… you can get some slightly used ones. ama utulie uchange change mpaka kitu 20k…
you have something to surf the net i get