insha

Insha: VILE MAMA ALIMKUNG’UTA BABA
Irikuwa mwendo wa saa sita usiku wa manane turipokuwa tumerara usingizi wa pono tukasikia duru na manyoye kutoka kwa bedirumu ya wasasi wetu mara ya kwasa tukarenga rakini ire kitu iritusangasa ni kuwa hiyo duru irikuwa ya mwanaume kisa hakiri sangu sinkanirudia kuwa kbla turare turiwasha mama na baba wakikorofana …kwa takribani miaka tano imepita mama amekuwa akimtisa baba yangu na kumwabia 'wee baba king’ori siku moja nitakugonga usungukiwe na dunia.
Duru ya baba iriederea huku mama akimwambia atamuonyesa kanga abaye amenyorewa. Sisi turikuwa tumekataswa kuwa tunaingia nyumba ya baba na mama ya kurara hata nini ifanyike kwa hvyo hatukuwa na mbundi wara kafara kuingia huko ira tu kujisikiriria mara tu nikamsikia baba akisihi mama amsamehe naye mama anaederea kumkung’uta ng’utung’utu rakini mama hakumsikia wara kumpa nafasi arizidi kumchapa kama mubwa amekura mafuta ya nusu!
Hayawi hayawi mwiso huwa turiamini pare mama aripotoka na kweda stoo yetu nakumwabia atamuua rea hapo hata sisi turiamka tuone vire atamuua tukaamuka na kuaja kushuguria kwa tumwanya twa ire bedrumu.
Mangai muamini au mukatae mama yangu arirudi na panga akamwekerea baba akiwa kitadani pap! naye baba akanyongoroka juu ya kitanda akipiga dulu ire mimi tangu nisariwe sijawahi isikia akisema. Kabra majirani wafike baba arikuwa amekura panga kama kumi ungethani mama anakatakata kuni ama migoba ya ndisi majilani warikuja kumuokoa baba kutoka kwa shujaa mama yangu ambaye arikuwa ameamua kufukuza uhai ndani ya baba. Majilani warimsika mama na wengine wakaita gali halakahalaka kupeeka baba hospitari mama naye akaperekwo kwa sifu.
Siku iriyofuata saa samba turienda kumuona baba yetu hospitarini turighathambika tititi kumuona vire arivyokaa arikuwa amesonwa anakaa kitenge daktali naye akatuuriza kama huyo ni baba yetu sisi tukamjibu hatuna uhakika. Arikuwa hataburiki si nywere wara sikio. Sasa kirichotusangasa sasassasasa ni vire baba aritokea kwa tifi njioni akisema ’ hata sio mala ya kwaja amenipiga naomba selikari ingiririe kati kwa sababu hii si kama vita ni kama kifo! Amenikatakata kama boga akiniwekerea mapanga na hapo ndipo tukaamini musemo uriosemwo na wasemaji asiyefuswo na mamake kufuswo na bibi yake!!!

3 Likes

[ATTACH=full]84326[/ATTACH]

7 Likes

[ATTACH=full]84327[/ATTACH] ghasia takataka weww, hii umefi peleka FB kwa rika zako

3 Likes

:D:D:D:D:D

1 Like

:D:D:D:D @Afro umesoma yote?

nangoja insha ya @spearthieth na Nattychieth, nikiwa hungdown niende boxing

Cuma ,njoo kidogo.

yes,and quoted the parts i found funniest

1 Like

kwanza nimesoma comments…

wacha nimark insha:

maudhui: 1
misemo: 2
tanakali za upusssy: 5
mtiririko: 2

verdict: 10/40

2 Likes

Tosha gari, siisomi

:D:D ati tanakali za upussy. Umenimaliza.

1 Like

Nimesheka yagu yote. This shit is fuckin’ hilarious