INTERVIEW NAIROBI pt II

After tumefika pale Base the club… I hope you are thinking what I am thinking and seeing what I am seeing… Betty akatoa idea ya tuingie Base tuchape kakitu tukitegea cuzo wa Matty, na vile alitoa iyo idea alikuwa so suggestive akiguza guza ile top alivaa with an intention nicheki ile cleavage na how her girls wamekimya mle ndani.

Fisi ni fisi tu. Ata nikasahau ile story ya break up yetu. Ndani mpaka Base. Grabbed our seats… Akadai amekuwa mlevi tangu Thursday what we do is achukue kathird generator moja tu na atulie. Nikadai ata Mimi pia nimekuwa ulevi ntachukua kathird gen moja lakini tuichase na sprite ndogo. And that’s what made it special. I wasn’t of the idea tukunywe mi nilikuwa na idea of kungojea cuzo wa Matty. But vile niliona Betty, idea ikamove to naweza get laid tonight. So if I have to buy liquor kiasi to get to it then so be it after all nilikuwa na punch ya juu. So tukiwa pale hapa na vile nacheki naanalyse Betty naona HeadtoHead statistics kichwa lazima ilale ndani. Ju ya vile alikuwa anaact all Romeo and Juliet on me.

To cut this long story ya Betty short. I hope mmelewa kulewa. Like inafanya time inakimbia and ukiwa na pesa kwa pub you can’t just take one for the road. So instead ya kuenda kutafuta gari ya jioni nilicancel iyo trip. Ili niamke the next day kidu 5 am nichukue gari za kuconnect. Cuzo wa Matty aliingia Base kidu 8pm nikadai ameniwaste akasema nipewe moja kwa bill yake ju ya iyo story. Ikifika 9pm Betty was so horny drunk but hataki kupeana. Kufanya bet ianguke at the 90th minute, kuna karau alikam kwa pub kuchukua zake za macho na pia kutei. Betty kumuona alininawa vile Co-principals walinawa Principal alafu Principal akawanawa coprincipals. I had to leave the pub ju singeweza ona mauchungu ya Betty kudara kitambi ya yule karao. Nikamalizana na counter na cuzo wa Matty akanijenga ile balance yangu less na pesa ya tei mbili alikuwa ameniitishia.

Luckily enough so nilimaliza ile punch ya juu nikaingia kwa punch ingine na ile less ya tei mbili ya cuzo wa Matty in total I had kidu 2600 nikienda home. Nikasema niende nilale mapema ju ya ile story ya kutravel morning. Nikashow cuzo wa Matty anikujie 5 am akiendaga town kuchukua mboga ya shule anidrop nichukue gari ya Kericho alafu Nakuru alafu Nairobi.

5am in the morning the conversation getting boring to my case it was interesting. Nikapata kumbe siz yangu mwenye anakuwaga maid akaniekea 4soo embesha. Cuzo wa Matty Alikam akanichukua mimi na hangover yangu masa akaniombea. Nikafunga safari to Kericho. Nikafika Nakuru kidu 10 a.m. Ju Nakuru ndo mahali nilisoma university nilijua machuom kidogo za kubargain kwenda nai na kitu 200 hapo ama pia minimum ya 180.

Nikapata gari. Wale wanajua Msikiti pale nikachukua mzozo imejaa yangu ya soo mbili na wale wanajua Highway Towers- Goodwill Wines- nikachukua kaquarter ya Naps-my favorite. All tools needed for the journey iko seti mbaya.

Gari ilidondoka kidu 11:30 hapo. Ubaya position yangu kwa gari was not favoring- kulikuwa na kunguru fulani fiti pale seat before ya dere. Mi nikapata seat hapa nyuma na dame fulani ako in her early third floors of her life. Bado mind haiko distorted nikasema huyo siwezi mbongesha.

By the time tunafika Limuru mzozo ilikuwa imenice imenishow kachat kakashika men na yule dame alikaa kando yangu. Kumbe yule dame pia alikuwa mavitu chini ya waba- for Kambas ju hamna maji imagine ni chini ya mchanga instead.
Yule dame akadai ako na tei- tena naps- lakini ameogopa kuitoa kwa gari. Ilikuwa mzinga lakini alikua ameshawai kama nusu yake. Nikasema nini leta kitu. Tukaendeleaga tukicheka pale nyuma mahifive mastory nimekuwa comedian pale nyuma mpaka nafeel I am not even a Churchill material I should go to Holly wood comedy central.

Juu ya jam hapa na pale. Mastop overs za makarau na puncture moja tulipata pale Naivasha tulifika jiji kidu 4:30. Along the way jaba ilinikumbusha niko na beste wangu wa highschool anachop K.U. ikabidi nimemake calls and so yeye ndo atakuwa host wa mine instead of my cuzo.

This is not real me now. Its jaba making decisions. Yule dame sijui alikuwa anafika sides za umoja ama sijui wapi tuliexchange contacts and guess what niliposhuka jiji nikajipata sina wallet. Na nilishuku ni yule dame tu ju ya haraka alishuka nayo ngara. Luckily ilikuwa na maATM hazifanyi, plates za sim card and I think CD moja ya sure tu. ID yangu nilikuwa nimeweka kwa document wallet Fulani nilisunda kwa backpack. That pickpocketing dint worry me that much.

Since sijawai jua maroute za nai I had to wait for Frasha yule wa k.u anikujie tao ndo tufike hood yake. Nikasema nimtegee pale Kencom- nikaropokwa ata details za vile nimevaa place nimekaa and stuff- nikishafishaga macho ni jioni na maslay wanaenda za mtaa.
Niliongojea Frasha niliongojea Frasha phone yake sasa haikuwa inaingia.
(final and last episode inakam)

U

i see kericho… kwani unaishi wapi? muhoroni? koru? kapsoit? mtaa gani hiyo brathe?

Write your reply…cd kwa wallet

nauliza kathird generator ndio which type of alcohol

Hii hekaya imekuwa makali!!! Its coming in tots

ni ngombe ya kisii

Between Kisumu and Kisii

let’s ask Mututho!

Reply! Ah happy now?!

Grass call cow, cow!

Oyugis

Okay

following

Mututho alirudi ushago naivasha