@introvert fanya transleshen ama uweke subtitles

WILAYA YA NYANDO
MTIHANI WA MWISHO YA MUHULA
MWAKA WA 2015
INSHA YA KISWAHILI


JINA : DICKENS ONYANYO MIRENGA
SHULE: ONG’ECHE
INDEX: 701221003
MUDA: Dakika 40


Andika Insha isiyozidi maneno 300 juu ya AJALI BARABARANI
ARUSI YA HAYATI
Wahenga na majadudi hawakupaka oliktiga fair and lovely waliponena kuwa Matako kubwa sio isara ya mlio kubwa ya mnyambo. Tulitoka asubuhi na mapema mithili ya Nyaugenya bus na tukaanza safari ya kwenda Kadenge katika pilka pilka ya arus la dada letu, Adhiambo Sianda.
Arus hii ilikuwa dimbwidimbwi kubwa kwasababu bwana chake Adhiambo alikuwa tajiri, alikuwa na pesa kama saitani. Alikuwa anaitwa japesa wang’e lando (mwenye pesa macho yake ni sambarau) , au Jamoko piere tar ( Tajiri matako yake imepararika)
Tulipanda gari ya Otange express Korowe na dereva akaanza kubingirika gari sembuse ya ndege ya Elikofta .
Usiposhiba njofla, utasituka kilio. Mama zangu akaambia dereva, wuoda, nyon moo alawo arus nyara kadenge ( mitoto yangu kanyaga mafuta, nakimbisa arus ya binti yangu Kadenge). Dereva aliposikia hi , akaendesha gari na sitina mpaka Ojola huku ngoma ya Boyieta ya Nakuja na mbusi moja ikichesa . Kidogo kidogo nikasikia kama mama yangu akaomba ngoma ya Nyar Jerusalem ya Dala mosingi.
Kabla ya kuku kumesa mahindi, gari yetu ikangongana na gari ya polis , nyim kafadha. Nikasikiya kama brek inafanya kruuuuuk alafu gari ikaenda chur mpaka i bel .Manamba alikuwa anapiga kelele " yaye, idhi nego mon yaye, ma gari moo" ( Unaenda kukufa wanawake, nyang’anya gari mafuta.)
Watu walikufa wote, mpaka mimi.

28 Likes

Wahenga na majadudi hawakupaka oliktiga fair and lovely waliponena kuwa Matako kubwa sio isara ya mlio kubwa ya mnyambo.
Waacha nicheeke kwansa kaabla ya kundeleea kusooma iinsa[ATTACH=full]88929[/ATTACH]

2 Likes

Mimi Kwiiiisaaaa!!![ATTACH=full]88930[/ATTACH]

3 Likes

Nyanganya gari mafuta :D:D

:D:D:D:D:D:D:D:D…The writer was under the influence of some highly illegal stuff

6 Likes

:D:D:D:D:eek:

Hehehee. Mama changu

1 Like

Ata yeye kwisa kufa. Hii ni ghost kasin yake naandika…
From RAO’s Twitter…

1 Like

Kiswahili sio mdomo changu cc @xuma

2 Likes

Wacha nkikusaidia @Fala 12 12…oliktiga ni bat… .imagine your own self painting a bat with your memsabibs fair n lovely lotion,

Leo

3 Likes

Ha ha index 3? Wa mwisho basi Ali copy hata jina lake Na kuandika la @Shahid instead of his name @Gio

3 Likes

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D
Oliktiga = bat/popo

3 Likes

And what is Moo? And please also translate the rest

Shait si moo… Ni bat aka popo

Alipaka oliktiga fair n lovely :D:D:D:D

For a moment, you had me scratching my head, you had gotten more cryptic than the writer

:smiley: :smiley:

Matako:Dkubwa sio isara ya mlio kubwa.

Watu walikufa wote, mpaka mimi.
[/QUOTE]

:D:D:D

2 Likes

Hapo kwa brakes angeweka fruuuuuu chu.
cc @Chloe

2 Likes

:D:D:D:D