Investor wants your help

upepo

Village Elder
#6
Hizi naenda kutafuta mbio mbio, najua zitatembea na 10K. Nikipata moja nitawapigia simu bila shaka. Mitsumi ndio watu wametu-exploit miaka yote.
 

sani

Village Elder
#7
io ni investment mzuri. unauza tano per month utaingia ile middle class ya Babylonians na 2022 utakua qualified kuwa mca
 

Top