Nilikuwa naside load IPTV app kwa firestick to make one of my older LED screens ikuwe smart TV.
Wadau, nani hapa huona TV channel za sare na IPTV aniokolee some m3u playlist ziko na channel za maana?
Tuokoleane ata kama ni kwa inbox nitasort kakitu nikipata m3u playlist ya maana