Is betty duffed up?

@digi hukuniambia betty ako na ball?..ama wanafichanga tumbo kwa newsroom?

lastweek:

[ATTACH=full]270903[/ATTACH]
five months ago:

[ATTACH=full]270911[/ATTACH]

I have noted wewe ni mwanaume mwenye umama mob sana. Juzi ilikua story za mboch sasa leo ni hizi? Boss kwani huna kazi ya kufanya ndio ufuatilie maisha ya watu ivi?

No wonder bibi yako hukula receipts.

I can’t tell a woman in her early pregnancy so well. But it seems you are an expert otherwise, vile @Massai amesema hapo juu.

Hii kenya, ile kitu imebaki, ni watu kutombana. Hakuna kazi, economy ndio hio, wacha tuzaane

Bana hii economy ni mbaya sana. Jana nimekuwa town fulani kuuza some goodies but nakushow ni kunoma! Wazae hawana any kwa mfuko jo. Ilibidi tu nikubali nimeroast fare yangu bure.

‘’ ihu riate nguo ritihithikaga". some phrases are best said in their original (greek) language, get a translator.

kwa hivyo tungoje tu…?ebu compare 5 months ago…

Wachana na kitambi ya wenyewe

boss sasa anza kuvaa kamisi…

Even in this state Mjulus itatema!

kitambia bigi kama ya @ChifuMbitika

Mine is not that big

Sasa anadanganya mihadarati anaishi kwa hio jake ama?