Is my decoder faulty?

#1
Hi villagers,
Sasa nimerudi mtaani napata hii decoder yangu(freesat v7 combo) inablink tuu LED ya yellow hapa kwa display continuously. Kuuliza naambiwa ati ilizima yenyewe tuu jana. Nauliza kama inawezakuwa imechomeka. image.jpg
 

Aurak

Village Elder
#11
Hi villagers,
Sasa nimerudi mtaani napata hii decoder yangu(freesat v7 combo) inablink tuu LED ya yellow hapa kwa display continuously. Kuuliza naambiwa ati ilizima yenyewe tuu jana. Nauliza kama inawezakuwa imechomeka. View attachment 174113
pole Omwami.....the decoder is half baked....it normally happens when umeme kam n go rapindly......no known cure....am sorry