Is this Nakuru ?

It’s long since i was in Nakuru, 7yrs ago maybe…
Is this how Nakuru looks like these days? ama ni hapo mbele kwa main street tu?
https://scontent-jnb1-1.xx.fbcdn.net/v/t1.0-9/44104201_1384155845052357_5187717557469052928_n.jpg?_nc_cat=110&_nc_ht=scontent-jnb1-1.xx&oh=42fa77e8fc712bcad42b29c280638ec1&oe=5C40F665

My digs, I love Naks

Nichinjie WD40 napita hapo na squad ya rowdy wanaducati November.

Mekanika mreeefi that’s a huge no, Naks is a WD void county, wacha @Mathaais aangalie your post KPMG

Hapo ni karibu na ile Tuskys huwa hapo kwa main road? But the town is still a dusty shithole.

Shithole?

kivumbini?

Yes Sir, shithole. I lived there for 3 years and there was nothing particularly interesting about it.

Niaje muthee @gashwin, nakuonea 19 , good evening sir. Nakuru is a very nice place to say the least

Wapi? Kama uliishi kaptembwa baaaaas!

Hapo racecourse/Zakayos immediately after high school. Hizo Kaptembwa na Shabe na sijui Rhoda nilikuwa naskia watu wakizidescribe, lakini nakumbuka vumbi kwa wingi.

Pole bro, ulisomea high school wapi? Mimi nilienda JKHS

High school nilisomea shule moja ya nguvu huko Nyanza/western. Nax nilikuwa napitia maholiday kwa uncle yangu.

Wapi exactly?

Hehe, bro I’ve already given too much info. Naona ukifanya CSI manenoz ku-“bust” uncle yangu :D:D:D. My uncle lives in Racecourse and I schooled in Nyanza/Western, that’s all I’ll say. Jesa jini.

Chunga sana MTU ya kiamunyi

Sounds like a MOBA

Nakuru is The town with no cats. Sambusa moto moto Sambusa moto moto!

I said it last week and I’ll say it again. Nakuru is known for:
*Serial killers
*Rampant prostitution
*Cat samosa
*Runaway insecurity
*Human wildlife conflict/baboons that attack women
When I said that I received backlash from several village sponsors wakiongozwa na Meria and I also think mathaais made a few crude comments

Naxvegas. my city